Viwanja vinauzwa!

Serendipity

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2009
Posts
486
Reaction score
43
VIWANJA VINAUZWA, VIPO MAENEO YA BUYUNI, MANISPAA YA ILALA, DAR ES SALAAM
VINAUKUBWA KAMA IFUATAVYO, 1. 1300 sq. meter ( low density), 2. 1100 sq meter na 3. 980 sq meter
Vyote ni maalumu kwa biashara na makazi (commercial/residential plots), unaweza kuviendeleza kwa kujenga makazi au makazi na biashara au biashara pekee, mfano Bank, hotel/guest house, Bar n.k.
Viwanja vyote vina hati miliki (Title deed for 99 years!). Bei ni maelewano, Kwa sasa sipo Tanzania ila nategemea kuja bongo tar 26 Juni 2009, nitakuwepo mpaka October 2009 hivyo kama kunamtu anahitaji kukagua viwanja hivyo na bei yake, tuwasiliane kwa email;dpwande@gmail.com
 

Poa tutakutafuta mkuu; ila swali moja tu hivi ndio vile vilivyokuwa vinauzwa na wizara ya ardhi? au ni Buyuni nyengine??? Maana vile vya serikali karibu vingi vilienda kwa watu wachache wenye undugunization na jamaa wa adhi.

Nimekutumia email kwa maswalizaidi, icheki then nijibu.

Thanx
 
Ninavyojua eneo hilo halina mtandao wa maji ya bomba, Je kuna uwezekano wowote wa kupata maji mazuri {free from salinity} kwa kuchimba kisima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…