Viwanja vinauzwa

mwachewangu

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
111
Reaction score
41
SAOM INVESTMENT LIMITED
BRELA REG,# 73521


PLOTS, FARMS FOR SALE IN BAGAMOYO AND KIGAMBONI.
1. Bagamoyo PLOTS
A.Plots zipo Kitopeni,Kilometer 5 toka Bagamoyo mjini,Kilometer 2.5 toka barabara kuu ya Bagamoyo Road.Plots zipo karibu na shule ya sekondari ya Ali Hassan Mwinyi.

B.Plots zipo ukuni,Kilometer 3 toka Bagamoyo mjini,Kilometer 1.5 toka barabara kuu ya Bagamoyo Road.

C.Plots zipo magambani Bagamoyo,Kilometa 3 toka Bagamoyo mjini.Kilometa 2 toka beach

D.Ekari 10 zipo Ukuni kilometer 5 toka Bagamoyo mjini,ipo kilometer 3 toka barabara ya Bagamoyo,ipo kilometer 3 toka bomba kubwa la Dawasco,zipo karibu na umeme.

E.Viwanja viwili vipo Block P,Kilometer 1.5 mpaka beach,vina umeme ,maji,vipo kilometer 1.5 toka Bagamoyo mjini.vina hati


1.1 Bagamoyo farms
Mashamba yapo upande wa Dar es salaam upande wa kushoto ukitokea dar,ukubwa unaanzia ekari moja mpaka ,yapo mashamba kando kando ya barabara na yapo mashamba kuanzia kilometer 5 toka barabarani.Yapo yaliyo karibu na maji na umeme.Kabla ya uuzaji wa shamba kufanyika kwanza hufanyika upimaji wa usalama wa eneo ambao hufanywa na maafisa ardhi.


2.Kigamboni
Plots zipo Kisarawe II,kilometa 18 toka Kigamboni city.Kilometa 5 toka Barabara kuu
Viwanja vyote vimepimwa na bei ni pamoja na hati Ukubwa Plots zinaanzia sqm 800(20x40) mpaka ekari 10

BEI.
Bei inaazia mil 8.5 mpaka mil 300 inategemea ukubwa na eneo lililopo.
Unaweza kulipa kwa awamu. Pia tunasaidia katika ushauri wa upimaji ardhi

Onyo.
Epuka kununua ardhi kwa matapeli,fuata taratibu bora za ununuzi ardhi wasiliana nasi kwa ushauri zaidi

Mawasiliano
Mr.Simon: 0713547228
0767547228,
Email,simonmasanja@gmail.com
 
Mkuu sijaelewa hapo Kigamboni ni karibu na kisarawe au ni jina tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…