viwanja vinauzwa

guta2010

Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
7
Reaction score
0
Hey kuna viwanja vinauzwa eneo rote ni eka 60 lipo kongowe wasiliana nami kwa +255714104800.
 
Jamani, hata kama lafudhi za matamshi zinatofautiana kulingana na asili ya mtu, hata kuandika nako?
Eneo rote???

Bei unayotaka ni shiringi npapi?
 
Jamani, hata kama lafudhi za matamshi zinatofautiana kulingana na asili ya mtu, hata kuandika nako?
Eneo rote???

Bei unayotaka ni shiringi npapi?

Ugomvi huo mie simo kama anatoka Tarime Kata ya Nyamongo unafikiri nani atakuamulia.
 
Umsema viwanya kisha unasema eneo rote(lote) tukueeleweje kaka? Hebu jipange ili utupe ujumbe unaoeleweka ili tuchangamkie.Ardhi ni mali hakuna utani hapa>
 
Hey kuna viwanja vinauzwa eneo rote ni eka 60 lipo kongowe wasiliana nami kwa +255714104800.

Kongowe ziko maeneo mawili tofauti ninayofahamu mimi. Ya kwanza ni Kongowe njia ya Mkuranga na ya pili ni Kongowe kule Kibaha!! Sasa unamaanisha ni Kongowe ipi? Na viwanja vina ukubwa gani? Maana inaelekea kuna ekari 60 zinagawanywa viwanza, je vinagawanywaje? Na kama nikitaka shamba lote ni aje? Naamini pale Kongowe ni Halmashauri ya Kibaha na ndiyo maana watu wanataka wauze mashamba chapuchapu kabla ya mpango wa kupima viwanja kuanza siku za usoni!!!
 
Hey kuna viwanja vinauzwa eneo rote ni eka 60 lipo kongowe wasiliana nami kwa +255714104800.

Acha ushamba Guta, toa maelezo ya kujitosheleza, ukitoa maelezo kama hayo utapokea simu mpaka ukasirike. Toma maelezo ya kupunguza watu kwenye foleni. Siku nyingine usirudie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…