PRODIGY001
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 103
- 199
- Thread starter
-
- #21
Ukienda through comments wengine wanadai hawakujui huko, so lazima uwape picha yenye kueleweka.Hakuna anayebisha hilo, ila usituambie unauza viwanja Kimara Kibaha wakati kibaha haipo kimara na kimara haijawahi kuwa ndani ya kibaha.
Asante kwa muongozo mukuu.Yani Tambani ninunue kiwanja bei hiyo na kulivyo na shida ya usafili mvua ikinyesha kule
Haya kanunue huko kusikokua na shida ya usafiri mvua ikinyesha.Yani Tambani ninunue kiwanja bei hiyo na kulivyo na shida ya usafili mvua ikinyesha kule
Mbona mnapima viwanja vidogo sana? Kwa mujibu wa sheria ya mipango miji kiwanja minimum ni 400m² (20*20)mMita 15x12, na Mita 12x9
Ni utapeli ulipchangamkaMbona mnapima viwanja vidogo sana? Kwa mujibu wa sheria ya mipango miji kiwanja minimum ni 400m² (20*20)m
Serikali inaruhusu vipi uchafu huu?? Watu wa halamshauri huko mnafanya nini hata kuruhusu kupimwa viwanja vya size hizi? Manataka na hili hadi aseme Rais au Waziri?Mita 15x12, na Mita 12x9
Uko sahihiUkishaona ardhi inauzwa kwa kipimo cha futi achana nayo. Huu usanii na ujinga watu sijui unawanufaisha nini. Ardhi inapimwa kwa mita duniani kote sio futi.
Ukiona muuzaji tu ana mashaka na anachokiuza jua sio halali ama kwenye malipo bei ni kubwa kulingana na uhalisia na mengineyo