Wanajamvini poleni na usummbufu.Vipo luchelele Mwanza.
Tena eti kwa mkurugezi? Mkurugenzi yupi huyo? Tangazo changa hili, ingekuwa mimba ni changa ya siku mbili!!! Madalali jifunzeni lugha ya biashara, hii jumuia ya Afrika ya mashariki na udalali utakuwepo na hamtaweza kupambana nao!!! Kila kitu huru!!! Eti kiwanja luchelele kw mkurugenzi, eboo!!! Anza kiwanza kipo/vipo kuchelele je iko mkoa gani, wilaya ipi, tarafa, kata, kijiji/manispaa/halmashauri/mji, n.k weka urefu kutoka barabara kuu, huduma muhimu, vimepimwa hati/offer, na mambo murua ya kuvutia biashara!!!Nahisi 15 ndo umri wako.
Huwezi ukataja tu luchelele kana kwamba kila mtu anaijua.
Asije akawa ndo huyu aliyegandiana Temeke!
Asije akawa ndo huyu aliyegandiana Temeke!