Plot4Sale Viwanja Viwanja Viwanja

Plot4Sale Viwanja Viwanja Viwanja

dalali msomi

Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
6
Reaction score
1
Nina Viwanja vilivopimwa na venye hati maeneo ya Kibaha Bagamoyo na Kigamboni kama unahitaji nicheki 0718161656 au nifollow kwenye mitandao ya kijamii @dalalimsomi [emoji65]
 
Sheria ya kuzuia madalali holela bado haijapitishwa tu....
 
Nahitaji kigamboni ila tuuziane bei ya maisha ya sasa,sio unakurupuka kutaja pesa nyingi tu
 
Nahitaji kibaha je eneo lako ni kibaha ipi? Ni PM
 
NJOO NIKUPE HEKA 4 IKIWA NA NYUMBA ILIYOPAULIWA NUSU ina chumba cha kulala,sebule,jiko,choo ni center na barabarani panaitwa musese mpakan mwa kibaha na kisarawe unapta moro road unaingilia kongowe bei mil.15, AU KAMATA KIWANJA HAPOHAPO UREFU 70M UPANA JUU 28M CHINI 16M BEI MIL.1.6 NI ENEO LANGU SI DALALI NICHEKI 0624078252 AU 0764726071
 
Back
Top Bottom