Nauza Plots Kibaha(Visiga-Madafu) ziko Mbilil,zimeungana kilometa 3 kutoka lami Morogoro road(Kituo cha Madafu). zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Umeme na Maji vyote vimefika. Panafikika kiurahisi kabisa(Lami) Jumla ya square meter 1388. Zina Hati Miliki ya Wizara. Bei (zote mbili )9,800,000.(Mazungumzo yapo) Phone: 0713794962 Hakuna Dalali, Mimi ndo Mmiliki.