Plot4Sale Viwanja vizuri kwa makazi vinauzwa block 19, Kibada wilaya Kigamboni

Joined
Mar 10, 2022
Posts
10
Reaction score
6
Viwanja vizuri kwa makazi vinauzwa block 19, Kibada wilaya Kigamboni. Viwanja hivi vina sifa zifuatazo:

1. Vipo katika eneo zuri kwa makazi vikizungukwa na makazi yaliyopangiliwa na yenye kuvutia kama inavyoonekana kwenye picha.
2. Panafikika muda wote wa mwaka kwa barabara tofauti na maeneo mengi ya Kibada hapatuamishi maji.
3. Viwanja vimepimwa na vina hati.
4. Umbali wa km 12 toka daraja la Kigamboni na km 14 toka ferry.
5. Huduma zote za kijamii zinapatikana.
6. Viwanja vyote vimepimwa kuanzia 1000sqm kwakuzingatia mpango mji wa makazi bora.
  • Bei ni 45,000 kwa square meter moja na inaruhusiwa kulipa taratibu ndani ya miezi mitatu(Gharama hii inajumlisha gharama za kodi,mwanasheria,dalali kama yupo,kubadilisha umiliki kwenye hati n.k.)
  • Kwa mawasiliano zaidi piga/whatsapp/text 0718945887 au 0620683141.


    Karibuni




 

Attachments

  • VID-20220307-WA0009.mp4
    8.5 MB
Kibada na Kisota ndo maeneo ya hadhi na mazuri kwa wenye nazo kuishi kwa Kigamboni...Nilishangaa kuona viwanja kule vina bei kuliko hata maeneo mengi tu prime ya upande wa pili.Anyways ngoja nijichange.
 
Viwanja vilivyopimwa kwa makazi vinauzwa...Viko Gezaulole karibu na Islamic beach (Mita 920 toka beach).Bei ni 40,000 kwa square meter na utapatiwa hati yako bila gharama za ziada. Kwa kutembelea mradi au kufanya booking piga/whatsapp 0620683141/0655179391. Karibuni wote!
 

Huku kuna huduma Kama Maji , umeme na Barabara? Barabara ya kwenda Beach ipo? Kuna Mtu anaulizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…