Kwanini ununue eneo lililotengwa kwa ajili ya shule, sehemu za wazi, makaburi, barabara, hospitali na sehemu nyinginezo ambazo hupaswi kujenga? Je unamiliki eneo ambao ambalo hujui kwenye mchoro wa mipango miji (Town planning drawing-TP) liko sehemu gani?
Karibu tukuchukulie details za eneo lako na ujijue kama uko salama kuendeleza au laa. Usije kujenga then baadae unaambiwa ni eneo la wazi au ni bondeni.
NiPM kama unahitaji huduma hii.
Asanteni sana.