P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Viwanja mbalimbali kwenye mikoa Tanzania na maeneo ya muhimu yanamilikiwa na CCM kitu ambacho kinatilia mashaka Kwa utawala wa nyuma ambapo Nchi ilikua hauwezi hata kujenga viwanja vya mpira CCM walitoa wapi pesa kujenga viwanja hivi?
Viwanja hivi vinaifanya serikali kutokuwajibika kuwapa watanzania miundombinu hii ya muhimu Kwa sababu tayari Kuna viwanja vya chama. Na hivi viwanja vina miaka mingi sana
CCM Kirumba
CCM Uwanja wa Dodoma
Taja Uwanja mwingine