Viwanja vya makazi vinauzwa- Mbezi, mabwepande,kinyerezi

kanjahni

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
42
Reaction score
14
VIWANJA VYA MAKAZI - MABWE PANDE
eneo ni kubwa sana nakata vipande 20x20 bei mil3
jirani na kota za saccos,nyuma ya shule ya msingi na hospitali ya mabwe utafika na gari mji umechangaka sana
eneo zuri kwa uwekezaji.

KIWANJA - MBEZI NJIA YA MPIJI MAGOHE
Kiwanja kina ukubwa wa 38x35
BEI - Ni maelewano
kipo- kituo cha basi cha MACHIMBO
kipo safi na kimeendelezwa kina miti ya minazi,michungwa na mipera
majirani wameshajenga umeme upo barabara safi

KIWANJA - KINYEREZI KANGA
ukubwa 20x20 bei maelewano

 

Attachments

  • IMG_20140720_114139.jpg
    73.7 KB · Views: 411
  • IMG_20140720_114342.jpg
    61.8 KB · Views: 373
  • IMG_20140719_133544.jpg
    53.3 KB · Views: 360
  • IMG_20140719_133458.jpg
    75.1 KB · Views: 354
mawasiliano mengine kanjahni@gmail.com serious bussines sihitaj dalali jamani nipo serious nahitaj
wanunuzi pliz,pliz madalali mniache niuze mali zangu.
:flame:kimfaacho mtu chake............!!!!!!!!!!
 
TUFANYE BIASHARA(viwanja) KWA WANAOHITAJ VIWANJA VYA HAPO JUU
ONGEA NA MIMI MWENYEWE MWENYE MALI ACHANA NA MADALALI

Email......... kanjahni@gmail.com

Phones............ 0716 86 62 41 au ....... 0755 069 740.
Tuwasiliane nikupeleke ukague eneo kama utaridhika ufanye taratibu za ununuzi.
ahsante!!
 
Weka bei watu tujipime ubavu aisee. Mie nahitaji kiwanja kama inawezekana ni pm bei ya hicho cha 38/35.
 
Mabwepande huko si kuna mradi wa manispaa ya Kinondoni?mzee usije ukawa unataka kupiga watu!!!
 
haya uza sasa....
 
nimetoa namba za sim plz serious buyer njoo tufanye biashara, plot ya kinyerez imeshachukuliwa lkn mbez ya mpiji bado bei naanza na mil8 maongezi yapo, mambwe pande nakata vipande vya hatua 20x20 bei mil3 maongezi yapo karibuni sana kwa biashara naruhusu kufanya utafiti kabla haujanunua ndg zangu mali zote ni zakwangu mimi mwenyewe wala c dalali kama baadhi mnavyo hisia.
thanks!! nipigie twende ukaone wahitaj ni wengi plz piga 0716 86 62 41, 0755 069 740, email............... kanjahni@gmail.com
karibuni nyote tufanye biashara
 
ndg!!! mabwepande ni eneo kubwa sana na kuna miradi mingi tu ya serikali kuhusiana na ardhi ila eneo ambalo nauza mimi hakuna mradi wowote kwa sasa na watu wananunua kwa sana maana inaonekana baadae patakua hot cake sana. Vile vile ni vizur ujiridhishe kabla haujaamua kununua ndg zangu kama upo serious njoo uone biashara then fuatilia ardhi ujue nini kinaendelea hapo.
vipande vimebaki vichache wengi wamevutiwa na maeneo hayo
serious buyers you can pm me or just call on 0716 86 62 41... or 0775 069 740.
lets do business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…