Viwanja vya makazi vinauzwa- Mbezi,Mabwepande.

kanjahni

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
42
Reaction score
14
KIWANJA MBEZI NJIA YA MPIJI MAGOHE
Ukubwa 38x35
eneo tambarale unashukia kituo cha machimbo
umeme upo barabara mpaka kiwanjani. kiwanja kina miti ya minaz8,michungwa 4 na mipera2 , mzambarau 1
bei 8mil maongezi yapo.

VIWANJA MABWE PANDE
Eneo ni kubwa linafikia hekari moja kasoro
eneo lipo kwenye hali zuri, barabara inapitika
viwanja vipo jirani na kota za mradi wa soccos ya bunju si mbali na shule na hospital ya mabwe
nakata vipade vya ukubwa mbali mbali kulingana na mahitaj yako
bei 3mil kwa ukubwa wa hatua 20x20.
wanunuzi tuwasiliane kwa,,,,,,,,,,,,,,

email............ kanjahni@gmail.com

simu............. 0716 86 62 41, 0755 069 740.
sihitaj dalali plz serious buyers only welcome.
 
sure!! kiongoz wenye nia ya dhati nawakaribisha sana tutumie fursa:flame:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…