gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
Habari..Tunauza viwanja viwili kwa ajili ya mahitaji ya ujenzi wa petrol station mali halisi ya familia yetu kwa bei nafuu sana..kimoja kipo singida road heka tatu kina hati bei ni mil 170. na kimoja kipo dar es salaam road kina vibali vyote vya sheli ukubwa wa heka tatu kiasi cha Tsh mil 550..karibuni wateja naomba nitafute kwa namba 0655784688.