Plot4Sale Viwanjna vinauzwa Mpigi Magoe-Mbezi

Plot4Sale Viwanjna vinauzwa Mpigi Magoe-Mbezi

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
HABARI NJEMA

NAUZA VIWANJA SQURE METER MOJA TSHS 19500/= MAENEO YA MPIGI MAGOE MBEZI KM 7 MPAKA STAND YA MAGUFULI UMEME NA MAJI YA DAWASCO YAPO. UKUBWA WOWOTE UNAOUTAKA (DALALI ANAKARIBISHWA 10%) MWENYE KIWANJA 0713669533

KARIBU WOTE

Ukubwa tofauti tofauti 60×45, 30×20, 20×20, 60×55, na 70×70, square meter 18500/= dalali 10%

Watu wananunua na kujenga wewe unangoja nini??View attachment 1892867

20210814_155803.jpg
 
Mpigi Magoe mbona bei ni kubwa sana au Mimi ndio sijui au kule nilipoenda Mimi siyo mpigi!!....
 
Mpigi Magoe mbona bei ni kubwa sana au Mimi ndio sijui au kule nilipoenda Mimi siyo mpigi!!....
Mwaka juzi pia nilikata viwanja niliuza 6.5M navyo viliisha wewe njoo ununua acha maneno mengi kama uwezi waachie wengine
 
Mwaka juzi pia nilikata viwanja niliuza 6.5M navyo viliisha wewe njoo ununua acha maneno mengi kama uwezi waachie wengine
Nina viwanja karibu na Nyumba za saccoss huko sasa hivi huko wanauza 30×20 million 3 ndio maana nikadhani mpigi hii ni tofauti lakini nadhani kama mwaka juzi uliuza 6.5 millions mwaka huu bei imepanda sana!!...
 
Kweli saccos mbali sana huko ni mpigi mabwe pande mimi nipo magoe center kama unaenda kibamba ccm ya zamani kuna umeme na maji ya dawasco, bar za kumwa
 
Back
Top Bottom