Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Ulipoenda weqe sipo na bei hii ndogo sanaMpigi Magoe mbona bei ni kubwa sana au Mimi ndio sijui au kule nilipoenda Mimi siyo mpigi!!....
Mwaka juzi pia nilikata viwanja niliuza 6.5M navyo viliisha wewe njoo ununua acha maneno mengi kama uwezi waachie wengineMpigi Magoe mbona bei ni kubwa sana au Mimi ndio sijui au kule nilipoenda Mimi siyo mpigi!!....
Nina viwanja karibu na Nyumba za saccoss huko sasa hivi huko wanauza 30×20 million 3 ndio maana nikadhani mpigi hii ni tofauti lakini nadhani kama mwaka juzi uliuza 6.5 millions mwaka huu bei imepanda sana!!...Mwaka juzi pia nilikata viwanja niliuza 6.5M navyo viliisha wewe njoo ununua acha maneno mengi kama uwezi waachie wengine
Kweli saccos mbali sana huko ni mpigi mabwe pande mimi nipo magoe center kama unaenda kibamba ccm ya zamani kuna umeme na maji ya dawasco, bar za kumwaNina viwanja karibu na Nyumba za saccoss huko sasa hivi huko wanauza 30×20 million 3 ndio maana nikadhani mpigi hii ni tofauti lakini nadhani kama mwaka juzi uliuza 6.5 millions mwaka huu bei imepanda sana!!...