Viwavijeshi wanashambulia mazao Itete, Malinyi Morogoro

Viwavijeshi wanashambulia mazao Itete, Malinyi Morogoro

tumbili mweusi

New Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Habari wana JamiiForums,

Hivi mbona serikali haichukui hatua kudhibiti hawa viwavi jeshi wanaoshambulia mazao ya wakulima? Chondechonde hali mbaya huku Itete wilayani Malinyi, mkoa wa Morogoro.
 
Afisa kilimo ametoa taarifa?
Kama ndoo, itakuwa wabasubiria vilio viongezeke, Subiria wapige hesabu kuona kama 10% itakayopatikana itatosha kumalizia pagara.
 
Habari wana JamiiForums,

Hivi mbona serikali haichukui hatua kudhibiti hawa viwavi jeshi wanaoshambulia mazao ya wakulima? Chondechonde hali mbaya huku Itete wilayani Malinyi, mkoa wa Morogoro.
Serikali inahusika vipi na viwavi jeshi, yaani badala ya wewe kuchukua hatua unamwambia serikali..mwambie mwenyekiti wako wa mtaa na mtandaji wakakupigie sumu..
 
Back
Top Bottom