Viza ya Bulgaria inapatikana Tanzania? Wana Ubalozi hapa?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wakuu Chama kimeniteua kwenda kusomea mishe za mambo ya Kura naenda kusomea Sofia University vast. Klimenti Ohridiski, Bulgaria Sasa Hawa jamaa Wana ubalozi hapa nchini? Kozi inaanza Agosti. Msaada tafadhali
 
Kwahiyo hicho chama chako kimekuteua bila kujua pa kupata visa au chuo kimekupa admission halafu hakijui utapataje visa pumbafu ww
 
Wakuu Chama kimeniteua kwenda kusomea mishe za mambo ya Kura naenda kusomea Sofia University vast. Klimenti Ohridiski, Bulgaria Sasa Hawa jamaa Wana ubalozi hapa nchini? Kozi inaanza Agosti. Msaada tafadhali
Stroke kaacha ualimu now ameteuliwa na chama anachomtukana mwenyekiti wake? (Samia)?

Haya fanya kuwatafuta kwa address hii...

Embassy of the Republic of Bulgaria in Ethiopia

Address: Bole KK, Kebele 04/06/07, Addis Ababa, Ethiopia
Postal Address: P.O.Box 987, Addis Ababa, FDR of Ethiopia
Telephone: +251 11 66 100 32
Fax: +251 11 66 162 70
Office hours: 08.00 - 18.00h
E-mail: Embassy.AddisAbaba@mfa.bg
Web site: www.mfa.bg/embassies/ethiopia
 
Nenda mbezi ya chini kabla hujavuka daraja la malecela kama unaenda mjin kuna mtaa unaitwa beach Street nyumba kama ya tatu kulia wana wawakilish hapo
 
Wakuu Chama kimeniteua kwenda kusomea mishe za mambo ya Kura naenda kusomea Sofia University vast. Klimenti Ohridiski, Bulgaria Sasa Hawa jamaa Wana ubalozi hapa nchini? Kozi inaanza Agosti. Msaada tafadhali

Pia kuna uwezekano Viza ukaipata airport huko Sofia, ongea nao ujue lipi la kufanya.
 
Wakuu nimetuma documents zote ubalozi wa Bulgaria hapo Addis Ababa nasiilizia. Asanteni Kwa muongozo
 
Back
Top Bottom