Kama ni mkoa wa Geita hakikisha unakwenda Chato beach resort, JS Motel, Burigi Chato kwa day trip ya game drive, Rubondo Island hapa kafanye boat excursion tu. Kama hivyo hutopenda basi nenda mji wa katoro kanywe bia mpaka asubuhi.Wakuu habari ya leo, natarajia kutembelea mkoa wa Geita weekend hii, Je ni maeneo gani mzuri sana ya kula bata yenye huduma zote yani nafikiri tumeelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran mkuu. Kwa Geita mjini viwanja vikali ni vip ?Kama ni mkoa wa Geita hakikisha unakwenda Chato beach resort, JS Motel, Burigi Chato kwa day trip ya game drive, Rubondo Island hapa kafanye boat excursion tu. Kama hivyo hutopenda basi nenda mji wa katoro kanywe bia mpaka asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante boss. Unaweza taja majina ya maeneo ya starehe kabisa? jina la hotel/bar/clubUtaanzia kwenye mataa ya kuvusha mbuzi kisha CRDB, ukishazunguka na maeneo ambayo sijataja, malizia sm Chato.
Utaanzia kwenye mataa ya kuvusha mbuzi kisha CRDB, ukishazunguka na maeneo ambayo sijataja, malizia sm Chato.
Disire vip!Mtaa unaokesha ni mmoja tu hapo mjini waambie wakupeleke mitaa/barabara ya usbon mpaka classic ina urefu wa nusu kilometer tu, sehemu za kulala, kula, bar na mengineyo yote yamelundikana hapa hapa. Usiku unahama tu kiwanja kimoja hadi kingine kwa mguu huhitaji usafiri na ni salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pazuri kama unahitaji utulivu lkn, pamechangamka kidogo baadhi ya weekend, ukiwa balenge utaenjoy zaidi unatoka mlango huu unaingia pale