VKP Investment tunauza na kukopesha Mashamba, Viwanja, Ujenzi na Upimaji

Kar
Karibuni nyote. Viwanja au mashamba kwajili yakuwekeza(investment) for large projects pia yapo.
Unatoa uzi wewe mwenyewe alafu unajijibu mwenyewe kweli Tanganyika kuna maajabu makubwa aise!!!!!
 
Unatoa uzi wewe mwenyewe alafu unajijibu mwenyewe kweli Tanganyika kuna maajabu makubwa aise!!!!!
Ndg zangu nadhani huwa tunachanganya mambo, hili ni tangazo na si Uzi. Hivyo anaweza kuandika chochote kinacho husu tangazo lake saa na wakati wowote.
 
Vya milioni moja hakuna mkuu?na kuna uhakika gani wa kumiliki ardhi? Make dunia sasa imeharibika,lingekuwa basi ningeomba isimame nishuke!
 
Link hapo chini imekaaje naleo mpo mahakamani
Mlionunua viwanja mjipime
Na kumeibuka vikampuni vingii vya kuuza viwanja vyoye ni tawi moja,kikinuka huku kule hela inapigwa
Fungua YOUTUBE uone baadhi ya list ya majina ya waliota pesa zao za viwanja

 
Nashukuru kwa kunikurupusha maana nusu nijitupe mzima mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…