Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Hahaaaaaaa,umenifurahisha mkuuKuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa formHabari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Mkuu huoni kwamba huo ni ubabe?Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form
Ndio ni ubabe.Mkuu huoni kwamba huo ni ubabe?
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Amekuwa wa kwanza kulalamika hadharaniMtoa mada unahisi kwanini Membe tu ndo atangazwe huko kati ya wote wenye nia na waliochukua form?
Tuone fomu jamaniTunamsindikiza lini akachukue
Chama Cha mabombadier, masgr, mafyover, mastiglers kinaogopa kutoa fomu, tuliwaambia hayo ma project yenu hayawezi kumbeba mtu wenu,Ndio ni ubabe.
Membe anakutisha eeeh? , unahofia familia yako itaishije Membe akipita [emoji3]Akachukue fomu huko huko BBC na VOA shenzi typ
Mkuu huoni kwamba huo ni ubabe?
Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form