simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Fungua hapa halafu bonyeza "direct link"VOA's Shaka Ssali weighs in on Why Zanzibar's Elections where Annulled
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamuongelei demokrasi ya kumpata Jambazi Sugu ndani ya Chadema?

Thank you for sharing brother........" Even if you were blind and any analyst might say,the system is beginning to prepare people, psychologically, mentally and emotionally, to accept results they declare later on" acha waseme wengine, tukisema sisi ni "malofa na wa....vu"
Uchaguzi wenye funzo tosha kwa wapenda demokrasia wa nchi hii
Hukawii kusikia wakisema, Shaka Ssali ni Chadema!
Fungua hapa halafu bonyeza "direct link"VOA's Shaka Ssali weighs in on Why Zanzibar's Elections where Annulled
Huyu jamaa Shaka nimemuona shallow sana, sijui VOA wanaona nini kumuweka pale. Ana uelewa finyu sana katika maswala ya siasa za nchi za kiAfrica lakini mara nyingi anajitia kuwa anazifahamu kiundani kuliko raia wa nchi hizo.
Katika kipindi chake cha Straight Talk Africa cha hivi karibuni walizungumzia uchaguzi huu na Prof. Boas wa Marekani. Walinitia kichefuchefu sana mpaka ikabidi niwalipue kwa comments na kuwa-expose shallowness yao.
Naomba aliemuelewa katika video hii atujuze ni wapi CCM ilipowaandaa kwa hadaa waTanzania kuelekea uchaguzi huu - hasa upande wa visiwani? Katika kampeni waliokuwa na nyomi kubwa ni nani.
Anazungumzia kuwa Zanzibari chaguzi zote za nyuma Maalim alikuwa anashinda lakini ananyang'anywa ushindi bila ya kutupa ushahidi wowote. This is dangerous and irresponsible.
Tuchukulie kuwa katika uchaguzi huu Maalim ameshinda - na hiyo inawezekana (for sure Pemba yote imemkataa Magufuli na kumpa kura nyingi Lowassa, kwa hiyo itakuwa walimchaua Maalim).
Lakini kutokana na irregularities zilizojitokeza (mfano, kituo kimeandikisha wapiga kura 100 lakini kura zilizopigwa ni 150 - lazima tujiulize kulikoni). Sasa hapa sio kuwa CCM wanasema wameshinda bali wanasema kura zipigwe upya na safari hii kuwe na uangalizi makini kama ulivyokuwa bara kuondoa wapiga kura hewa. Pana ubaya gani hapa?
Huyu Shaka (nadhani ana asili ya Uganda) kuja na kugrand-stand kuwa Maalim ameonewa ni kujaribu kutuharibia amani nchini kwetu tu.
Na aende Uganda akasimamie chaguzi huru za huko asituletee ngebe hapa. Nitafurahi sana Maalim akishinda, lakini ashinde kwa uwazi ili awe na mandate kama Magufuli na sio kwa wizi-wizi.