Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarii wanaJF
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi, wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview yeyote utumishi ndio nimeitwa kwa mara ya kwanza.
Poa mzee mzeeeUnapewaa mchoro then unatengeneza kulingana na kilichopo kwenye mchoro then baadaye msimamizi anaasembling ili kutengeneza product iliyokusudiwa