Polenaombeni msaada kila nikitaka kujirejista cas naambiwa vocha no does not exist...tatizo ni nn??naomba msaada tafadhali
EeehDu hata mie nilikua namsaidia dogo langu lakini kila nikiingiza vocha naambiwa does not exist
Ooh sawaWanaoambiwa Vchr # doesn،t exist vchr zenu mkiangalia vizuri mtagundua ni mpya(zimeandikwa exp date 2013) ni tofauti na wale waliotuma mwanzoni kwan wao wali2mia zinazo exp 2011(za mwaka jana) hizo mpya hakuna m2 alie apply zikakubali(m2 yeyote ninaemfahamu i.e) so nadhan bado hazijafunguliwa till now