Utafanya tujaribu hadi tufungiwe line [emoji3]Kesho nitatoa vocha yangu ila nitatoa namba tatu mwishoni.
Ndugu wakili na wewe unagombania vocha ya mia tano!Asante Mkuu. Nimeipata
Saa saba hii siku imebadilika toa hiyo vochaKesho nitatoa vocha yangu ila nitatoa namba tatu mwishoni.
Mbona vocha imeshatumika kiongozi? Halafu haujafanya usawa kabisa. Ulitakiwa utoe namba 1 mwishoni yaani hiyo 9 isingekuwepo ili mtu acheze na bahati yake.
Kesho nitatoa vocha yangu ila nitatoa namba tatu mwishoni.
Ni vocha ya buku Mkuu. Sasa naiachaje vocha ya bure Mkuu?
Ni vocha ya buku Mkuu. Sasa naiachaje vocha ya bure Mkuu?
Hakika MkuuHata ukiwa na milioni mfukoni, ukiona mia tano imedondoka usiache..
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki Samaki ipi Mkuu? Muda gani na lini?