Vocha ya bure Voda

Vocha ya bure Voda

Agent-13

Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
33
Reaction score
29
Jumapili njema wakuu, fanya wema, tena mfanyie usiyemjua.

Vocha ya buku hii hapa kwa mwenye bahati. Mtandao wa VODACOM

4906 4170 3733 469

20200105_115225.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nothing goes for nothing.
Utakua umepewa maelekezo na mganga wewe. HAKUNA ASIYEKUJUA ATAKAYEKUPA CHA BURE.
 
Kwani huna ndugu wa karibu uliye na uhusiano mzuri naye hadi hii vocha uitupe njia panda? Ushindwe
 
Jana niliweka vocha ya Tigo, kuna mwenzako akaja na mawazo kama yako.
Nikamwambia kwamba nyinyi ndio aina ya watu mkikuta elfu kumi imedondoka njiani hamuokoti ati mnaogopa ni "hela za majini"

Pole sana mkuu.

Wenzako hata tukikuta nazi imevunjwa njia panda, tunaichukua tunaenda kupikia ubwabwa.
Nothing goes for nothing.
Utakua umepewa maelekezo na mganga wewe. HAKUNA ASIYEKUJUA ATAKAYEKUPA CHA BURE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom