Vocha ya bure Voda

Alafu tukishapata namba inatusaidia nini??

Kwani namba ya simu ni siri siku hizi?? Mbona easy tu kuipata wala sihitaji nikupe vocha.
Una mzunguko wa zaidi ya watu 500 wenye namba yako ya simu (ndugu, marafiki, co-workers, marafiki wa marafiki zako, uliosoma nao) unahisi kwenye mzunguko huo wote hakuna anayeweza kunipa namba yako??

Think bro..
Ukishaiweka vocha wana uwezo wa kupigia simu mtandao husika na kuambiwa hio Vocha imeingizwa kwny no. Ipi ya simu,kama utani vile.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sihitaji kuwaza sana,maana sitarajii kupata vocha ya bure mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…