Mm Ni mtazamaji TU mm Niko katika mfumo wa post paid Babu kwa hyo hyo buku wape wanafunz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sihitaji kuwaza sana,maana sitarajii kupata vocha ya bure mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechanganyikiwa wewe.... Vinanihusu nini mimi.
Sio tajir Wala billionaire Bali kiwango changu Cha maisha nikigawa akiba maendeleo na matumiz mengne madogo madogo bas Niko katika mazingira hayoHongera kwa kuwa kwenye 'post paid'... you very rich.
Actually you are a billionare... OMG
Is that good enough??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tajir Wala billionaire Bali kiwango changu Cha maisha nikigawa akiba maendeleo na matumiz mengne madogo madogo bas Niko katika mazingira hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona leo unasambaza upendo tu...ile ya tigo nimeikosa na hii nimeikosa itabidi unitonye mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe!
Sangap sasa..tumeshasubir mno