K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Apr 8, 2013 #1 vocha za tcu kwa wakazi wa dar zinapatikana nbc matawi yote ya dar isipokua makao yao makuu pale posta na hawatopeleka kabisa vocha hapo makao makuu.
vocha za tcu kwa wakazi wa dar zinapatikana nbc matawi yote ya dar isipokua makao yao makuu pale posta na hawatopeleka kabisa vocha hapo makao makuu.
wamogori JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 888 Reaction score 339 Apr 8, 2013 #2 thanx kwa info
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Apr 8, 2013 #3 kisa cha kutokupeleka hapo mkuu ni nini hasa..