Vocha za voda zinagoma

Vocha za voda zinagoma

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,018
Ndugu wanajamvi sasa hivi kunashida ya vocha cha Vodacom hasa za shilingi elfu moja moja haziingii.....zile za kukwangua . Sijui tatizo ni lipi hata watoa huduma wameshindwa kutupa majibu.
 
Bado uko kwenye zama za kukwangua vocha mkuu.
Wengine tulishasahau hadi idadi ya namba za kwenye vocha.
 
Subiri saa kumi na mbili kamili ifike au weka kindege katika simu yako halafu kitowe weka tena itakubati
 
Back
Top Bottom