Mzee Saliboko JF-Expert Member Joined Jan 29, 2018 Posts 1,311 Reaction score 1,018 Oct 29, 2023 #1 Ndugu wanajamvi sasa hivi kunashida ya vocha cha Vodacom hasa za shilingi elfu moja moja haziingii.....zile za kukwangua . Sijui tatizo ni lipi hata watoa huduma wameshindwa kutupa majibu.
Ndugu wanajamvi sasa hivi kunashida ya vocha cha Vodacom hasa za shilingi elfu moja moja haziingii.....zile za kukwangua . Sijui tatizo ni lipi hata watoa huduma wameshindwa kutupa majibu.
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Oct 29, 2023 #3 Bado uko kwenye zama za kukwangua vocha mkuu. Wengine tulishasahau hadi idadi ya namba za kwenye vocha.
Bado uko kwenye zama za kukwangua vocha mkuu. Wengine tulishasahau hadi idadi ya namba za kwenye vocha.
Arch OAK Member Joined Jun 2, 2012 Posts 24 Reaction score 22 Oct 29, 2023 #4 Subiri saa kumi na mbili kamili ifike au weka kindege katika simu yako halafu kitowe weka tena itakubati
Subiri saa kumi na mbili kamili ifike au weka kindege katika simu yako halafu kitowe weka tena itakubati