Wakitangaza humu watakuja na conditions maana ni kampuni ya mafisadi huu uhuru ulionao wa ku-dare ku-talk open utakuwa kwishnei!!!! Usiombe balaa kaka hatudanganyiki hapa!Kwa muda mrefun sasa JF imekuwa ikipokea matangazo kutoka makampuni mbali mbali nchini ila nashangazwaa na ukimya wa VODACOM kutangaza kupitia JF kama wafanyavyo kwenye blogu nyingine (michuzi, mohamedi dewji, nk) ikitegemewa kwamba JF ndo blog yenye wapenzi wengi nchini..
Kulikoni mgomo huu baridi wa VODACOM na JF!!!!!!!