Nina jamaa yangu ametuma pesa zake wiki ya pili hii sasa na yule aliyetumiwa hajaipata bado kila akienda voda M-PESA anaambiwa mtandao wa uko down so ajaribu tena baadaye. Imekwenda hivyo mpaka sasa ni second week pesa hajaishika mkononi, najaribu kuimagine usumbufu anaoupata mteja huyu na wengine hasa ukitilia maanani kwamba mara nyingi watu wanaopt njia hii kwa ajili ya dharura.
Swali kwenu vodacom ni lini mnadhani hiyo server yenu itakuwa UP? Na je hakuna namna ya yeyote ya kufanya compensation kwa wateja wenu kutokana na usumbufu wanaupata kwa kushindwa kuaccess pesa zao?
Swali kwenu vodacom ni lini mnadhani hiyo server yenu itakuwa UP? Na je hakuna namna ya yeyote ya kufanya compensation kwa wateja wenu kutokana na usumbufu wanaupata kwa kushindwa kuaccess pesa zao?