Mimi nilishakumbwa na tatizo kama hilo, nilipiga namba mia moja ya Voda nikasaidiwa instantly na si kwenda kwa wakala pale nilipotuma pesa, wanasema yule hawezi fanya lolote pale, hawezi ku reverse zile transaction. Mwambie apige namba mia moja ya Voda atasaidiwa mara moja na si kurudi pale alipotuma pesa mkuu