Voda mna ujanja ujanja huduma zenu

Voda mna ujanja ujanja huduma zenu

mrsmaiko

Member
Joined
May 17, 2024
Posts
18
Reaction score
13
Mnanitumia sana sms za bima. Mkipigiwa kuelezea huduma zenu zipoje mfano bima ya gari makato yake hamasemi. Sasa mnataka tujiunge vipi kibubusa bila kujua makato. Yaani tujiunge tu bila kujua nitakatwa kiasi gani? Hili tatizo la kutokusema gharama atazo incur mteja lipo sana.

Ugonjwa wetu watanzania unaikuta biashara mtu anapost bei hasemi anataka siri sasa unashangaa.
 
Wananikwaza hawa watu.... unajinunulia salio kwa mpesa wanakata Tsh200
 
Back
Top Bottom