Vodacom acheni kuwabambikia mawakala madeni kupitia songesha

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
2,582
Reaction score
4,554
Huu ni wizi mpya kwa kampuni ya Vodacom songesha, mtu hujawahi kopa unakuta deni eti ulipe

Ama kuna wanaotumia hiyo huduma lakini overdraft huenda ni laki moja wakala anakuta deni la laki moja na nusu huu ni wizi

Ukiwapigia wanakupiga kiswahili
 
Tulia wewe! Lipa hela za watu hizo!!
 
Natumia songesha Kwa 3 yrs now na kiwango changu Kiko 500K,sijawahi bambikiwa deni
 
Back
Top Bottom