Vodacom angalieni hili kwa jicho lingine

Vodacom angalieni hili kwa jicho lingine

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Sasa sijajua kama hapa ndo pa kupaleta, lakini najua makampuni are sensitive to citizen journalism, so acha niseme tu.

Of late nikipiga simu kwenda namba ya vodacom via my vodacom line, ujumbe unaanza "rasimisha laini yako". Mara ya kwanza nikadhani nimefungiwa, nikakata simu muhimu. Kukomaa ndo nkagundua kuwa ni tangazo tu.

For the sake of PR na kupunguza confusion, napendekeza Voda wafanye haya:

  1. Watoe hiyo notification. Inachanganya cross section ya wateja. Na inawapotezea hela.
  2. Kuna ile namba ya promotion wanapigiaga simu. Waitumie kutupa huu ujumbe. (sorry, mimi nishaiblacklist)
  3. Waitume kwa njia ya SMS. Wanaweza kutumia Sender name kama RASIMISHA etc
Mimi ni loyal mteja, peace...
 
Umeongea kitu muhimu. Mimi pia nakereka sana, yani una issues zako za msingi wao wanakuchelewesha bila sababu
 
Back
Top Bottom