Vodacom angalieni uwezekano wa kuwa na App moja tu

Vodacom angalieni uwezekano wa kuwa na App moja tu

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
505
Reaction score
872
Ni ukweli usiopingika kuwa Vodacom ndio mtandao wenye huduma bora na imara ya mtandao nchini achilia mbali gharama zao.

Kwa muda sasa nimekuwa mtumiaji mzuri na mwenye kufurahia App zake za my vodacom na M-pesa lakini wiki iliyopita nilianza kupata changamoto kwenye app ya My Vodacom kwani ilianza ghafla tu kunitaka niweke OTP lakini situmiwi hiyo OTP yenyewe.

Nimewasilisha tatizo langu kwa wahusika na wameonesha kulishughulikia lakini mpaka sasa ni kama wameshindwa.

Nadhani ni bora wangekuwa na app moja tu yenye huduma zote hii ingesaidia kuimarisha huduma kwa njia ya app na kupunguza mlundikano wa apps kwenye simu.

Screenshot_20220710-082023.jpg
 
Ngoja ni-comment kwanza Alafu nisome malalamiko hayo
 
Back
Top Bottom