Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Natumia Network ya vodacomfirst tym inakuhitaji utumie internet connection ya voda na si nyingine.. check configuration ya internent kwenye simu yaku inatumia mtandao gani. naona simu yako inatumia two lines hapo??
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]bora umesema niliwapigia huduma kwa mteja wao wenyewe wanaonekana hata hawaijui vizuri hiyo app inavyooperate
Uhuni wao ni upi? Mbona mimi nimepakua hiyo app na inaenda vizuri tu?Voda wahun...I tu
OvA
Voda wahuni tu mkuu!alafu costomer service wao wajeuri,na hawapokei sim kabisa[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
Wahuni tuUhuni wao ni upi? Mbona mimi nimepakua hiyo app na inaenda vizuri tu?