The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hapo bado mitandao yoote watajua kuwa wanyonge wakiamua inawezekanaKwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.
Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
View attachment 2008198
Maderu anakutegemea ili akusanye kodiMim nimeisha sahau miamala ya sim
Duh!!!Ni kweli,binafsi nilikuwa nahudumia wateja wa M. Pesa 130 kwa siku. Ila baada ya tozo sijawahi Kuhudumia wateja kufikia 30 kwa siku
Mnataka vijana tukale wapiMim nimeisha sahau miamala ya sim
Wafunge kabisa ili tujue walifilisika sababu ya tozo wamewaibia sana wananchi vifurushi!Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.
Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
View attachment 2008198
Babake!!!!Ni kweli,binafsi nilikuwa nahudumia wateja wa M. Pesa 130 kwa siku. Ila baada ya tozo sijawahi Kuhudumia wateja kufikia 30 kwa siku
Amini hivyo mkuu,alichoandika mdau amemaanisha.Duh!!!