Vodacom Free Wi-Fi installation for office use.

Vodacom Free Wi-Fi installation for office use.

Balozi limited

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
989
Reaction score
2,565
Karibu tunafanya free Wi-Fi installation kwa bei nafuu kabisa kwa matumizi ya office, home au private with speed internet of voda.
Free router installation. You are warmly welcme
 
Karibu tunafanya free Wi-Fi installation kwa bei nafuu kabisa kwa matumizi ya office, home au private with speed internet of voda.
Free router installation. You are warmly welcome or check me any time 0620701780.
Bei ganii boss maana umeandika bei nafuu tuuu
 
Unafanya installation ya internet ya voda huku namba ulioweka ni ya halotel
Natumia just for normal calls and SMS , na nafikiri mtandao WA voda unajulikana kasi yake .speed internet
Karibuni wadau tufanye kazi kwa matumizi ya nyumbani na maofisini tunafanya installation.
Mahali popote ulipo kikubwa angalau uwe karibu na mtandao au mnara WA voda.
 
Kwahio mkuu hata huko mikoani mnafanya?
 
Mpaka mikoani tunafanya ndio mkuu
Popote ulipo tupo,
Karibu sana
Kwa mawasiliano/taarifa zaidi kwaajiri ya Huduma ya free Wi-Fi installation ya mtandao WA vodacom speed kasi zaidi kwa matumizi ya ofisini au majumbani popote ulipo karibuni Sana
 
Je kama mtu anahitaji yakwake binafsi na hayupo sehemu yenye mtandao wa voda ataweza au ni mpaka kuwe na mtandao wa voda
 
Je kama mtu anahitaji yakwake binafsi na hayupo sehemu yenye mtandao wa voda ataweza au ni mpaka kuwe na mtandao wa voda
Kama mtu anahitaji ya kwake binafsi tunamuwekea for home users.
Lakini pia kuhusu suala la mtandao wa voda, Huwa Tuna team ya wataalam wanakufuata mpaka ulipo popote pale kisha wanaangalia accessibility ya mtandao unashauriwa na kukubaliana kwasababu mara nyingi huwa wanaangalia distance kutoka mnara, lkn wakifika physically mnaongea vzr tu for free kisha mnakubaliana km ufungiwe au vp kutokana na mtakavyoona inafaa.
Karibu sana ndugu yangu.
 
Mwenye ufahamu ussd au Menu ya kununulia vifurushi vya 5G router voda. Naomba msaada
 
Back
Top Bottom