Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Sijapata taarifaSi walisema wamepata hasara hawa?
Atupe mrejesho. Badala mtu kuacha hela kwenye kampuni uchwara Kama hii, ni Bora uzungushe kwenye biashara ndogo.Tumuulize mwanahisa mwenzetu waziri mkuu maana alimnunulia mkewe hisa za voda zenye thamani ya mil. 10.
Biashara ya hisa sio biashara ya mtu maskini.Atupe mrejesho. Badala mtu kuacha hela kwenye kampuni uchwara Kama hii, ni Bora uzungushe kwenye biashara ndogo.
Aisee unaongelea Dividend au unaongelea Nini mzee?Vodacom ni shirika mfu hilo,hamna pesa tena pale
Hata hayo magawio ya nyuma ilikuwa Mwendazake anachota hazina anaanda hafla anazikabidhiwa tena