Tman900 JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 589 Reaction score 1,897 Jun 29, 2024 #1 hii huduma mbona mnatuibia pesa wenu, ukiweka tu salio wanakata 100, 300 ukiuliza uaambiwa ulijiunga na huduma ambazo hata hauzijui mbona watu wa Mitandao ya simu wanatuibia, wateja woa. Wizi kila sehemu.
hii huduma mbona mnatuibia pesa wenu, ukiweka tu salio wanakata 100, 300 ukiuliza uaambiwa ulijiunga na huduma ambazo hata hauzijui mbona watu wa Mitandao ya simu wanatuibia, wateja woa. Wizi kila sehemu.