Vodacom, huu ni wizi wa mchana kweupe

Vodacom, huu ni wizi wa mchana kweupe

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
4,823
Reaction score
6,416
Nimeunga kifurushi halafu sms haziendi siku ya pili leo. Muda unaenda, nani atafidia hasara hii?

Au mmelewa mafanikio?
 
Back
Top Bottom