Imenikuta hiyo mkuuYaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida.
Zamani tulikuwa tunapewa taarifa, lakini naona hata wao wamechoka sasa kutoa taarifa. Wanakata tu.
Kuna ile huduma ya M-koba, yaani matatizo kibao. Mwanachama anaweza kutoa mchango na wasitume ujumbe. Ukiuliza utaambiwa mfumo. Siku tukataka kutoa pesa kwenye kikundi pesa haitoki. Tukawapigia tukaambiwa mfumo, tusubiri ndani masaa 48.
Hadi muda huu naandika uzi huu, mtandao wa voda umekata. Najiuliza, kama mtu unashida ya pesa M pesa unafanyaje.
Huu mtandao wasipochukua hatua haraka utakufa vibaya.
Laaana za KabenderaYaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida.
Zamani tulikuwa tunapewa taarifa, lakini naona hata wao wamechoka sasa kutoa taarifa. Wanakata tu.
Kuna ile huduma ya M-koba, yaani matatizo kibao. Mwanachama anaweza kutoa mchango na wasitume ujumbe. Ukiuliza utaambiwa mfumo. Siku tukataka kutoa pesa kwenye kikundi pesa haitoki. Tukawapigia tukaambiwa mfumo, tusubiri ndani masaa 48.
Hadi muda huu naandika uzi huu, mtandao wa voda umekata. Najiuliza, kama mtu unashida ya pesa M pesa unafanyaje.
Huu mtandao wasipochukua hatua haraka utakufa vibaya.
Kwa ishu yako hiyo suluhisho ni kwenda vodashop mtasaidiwa huko..Imenikuta hiyo mkuu
Hela ipo m koba na mm lain niliungwa kama mweka Hazina
Nilipopata kazi sehemu nilipokua MTANDAO haupo ikapelekea line kufungwa
Sasa nataka kutoa Hela haitok na line alishapewa mtu mwingine
Sijui nafanyaje mkuu
Wenzangu wamejaribu kunifuta imekataa Ili waunganishe mwingine imegoma daaah
Mkuu note this sizungumzii voda.Yaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida.