Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Huko kwako ni wapi?Leo internet ya Vodacom kama haiko sawa hivi. Je ni huku kwangu tu au hata huko?
hata huku tarime ipo hovyoLeo internet ya Vodacom kama haiko sawa hivi. Je ni huku kwangu tu au hata huko?
Natumia halotel pia naona leo sio kawaida. File nilikuwa na download kwa dakika 5 limeshamaliza zaidi ya saa zima halijashuka hata nusu.Itakuwa kunashida kubwa, sio Voda pekeake, Tigo pia mtandao unasumbua