Vodacom janga la uchumi na mawasiliano SONGEA

Vodacom janga la uchumi na mawasiliano SONGEA

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Wakuu!Tangu tumeamka vodacom hawapo hewani.Mbaya zaidi nashindwa kumtumia mfanyibiashara mwenzangu M-Pesa.Inatokea sana
 
Inawezekana mnara uliopo ndio umekata mawasiliano. Hilo ni jambo la kawaida la kiufundi. Mbona siku umeme ukikatika husemi na ukisema utaema mara ngapi kuhusu umeme?
 
Bwana wewe,kama alivyosema pastor.Yaani huku m-pesa tunaipenda ila tu mtandao ndo hvyo hovyoooo hadi inaboha.
 
Ila wamezidi voda hii si leo tu inatokea mara nyingi sana lakini hawatoi excuse au taarifa mapema. Wapuuzi sana. Vodacom huku inawatumiaji wengi sana ila Vodacom hawatuthamini ndo yale ya Mtwara na gas.
 
Back
Top Bottom