Inawezekana mnara uliopo ndio umekata mawasiliano. Hilo ni jambo la kawaida la kiufundi. Mbona siku umeme ukikatika husemi na ukisema utaema mara ngapi kuhusu umeme?
Ila wamezidi voda hii si leo tu inatokea mara nyingi sana lakini hawatoi excuse au taarifa mapema. Wapuuzi sana. Vodacom huku inawatumiaji wengi sana ila Vodacom hawatuthamini ndo yale ya Mtwara na gas.