Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mtandao wenu recently umekuwa slow sana, ile edge ya advantage mliyokuwa nayo dhidi ya wenzenu katika issue ya speed ya internet mnaipoteza, halafu siku hizi ilifika usiku saa sita kwenda mbele internet yenu haipatikani kabisa.
Hivi nyie hamjui kuwa kuna watu wanatumia internet hadi usiku wa maneno kwa ajili ya research, business, na vikao na watu walioko upande wa pili wa dunia?
Hivi nyie hamjui kuwa kuna watu wanatumia internet hadi usiku wa maneno kwa ajili ya research, business, na vikao na watu walioko upande wa pili wa dunia?