shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
GTs,
Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo?
Je ni mtandao gani wa simu wenye internet kasi kwa sasa?
Natumia iPhone 13 Pro Max, na nipo Dar es Salaam, naishi upanga.
Naomba jamani mwenye kujua nifanyeje maana maisha yangu yanategemea access ya mtandao 24/7