shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Hv unajua unachoongea amaGTs,
Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spiti ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo?
Je ni mtandao gani wa simu wenye internet kasi kwa sasa?
Natumia iPhone 13 Pro Max, na nipo Dar es Salaam, naishi upanga.
Naomba jamani mwenye kujua nifanyeje maana maisha yangu yanategemea access ya mtandao 24/7
Nina GB 28Hv unajua unachoongea ama
Sasa mkuu yanini ueke na aina ako ya smu
Kasi umemalza GB zako Voda kakupa ofa ue na internet service ad mwsho wa mwezi Sasa Bado huridhiki
Hapana kabisa nina GB 28Umemaliza bando sio? Hio ni bonus tu wanakupa ukae hewani mb zako ulimaliza.
Ameweka aina ya simu maana anajua kuna binadamu wana nongwa sana watakuja kumwambia simu unayotumia ni mbovu au watasema ni zile simu zetu pendwaHv unajua unachoongea ama
Sasa mkuu yanini ueke na aina ako ya smu
Kasi umemalza GB zako Voda kakupa ofa ue na internet service ad mwsho wa mwezi Sasa Bado huridhiki
Maybe wana Tatizo, alternative jaribu kuset ikae 3g only then test speed sometime 4g inaweza ikazingua ila 3G ikawa vizuri
[emoji38][emoji38]Ameweka aina ya simu maana anajua kuna binadamu wana nongwa sana watakuja kumwambia simu unayotumia ni mbovu au watasema ni zile simu zetu pendwa
Of coz mkuuCheki settings zako tu. Voda kasi yao hainaga shaka kabisa
Asante mkuuMaybe wana Tatizo, alternative jaribu kuset ikae 3g only then test speed sometime 4g inaweza ikazingua ila 3G ikawa vizuri
Unajua hata mi voda nawaaminia ila hii kitu imenistuaOf coz mkuu
Niko Huku mkoa Ngoma Inasoma 4G+ ila sasa....hamna kitu Bure kabisaGTs,
Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo?
Je ni mtandao gani wa simu wenye internet kasi kwa sasa?
Natumia iPhone 13 Pro Max, na nipo Dar es Salaam, naishi upanga.
Naomba jamani mwenye kujua nifanyeje maana maisha yangu yanategemea access ya mtandao 24/7
Ah ah nakataa,siku mbili hizi wameyumba sana wanakaribiana na Airtel kwa ubovu.Cheki settings zako tu. Voda kasi yao hainaga shaka kabisa
Hakika, sijui wana tatizo ganiAh ah nakataa,siku mbili hizi wameyumba sana wanakaribiana na Airtel kwa ubovu.
Tigo inaunafuuGTs,
Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo?
Je ni mtandao gani wa simu wenye internet kasi kwa sasa?
Natumia iPhone 13 Pro Max, na nipo Dar es Salaam, naishi upanga.
Naomba jamani mwenye kujua nifanyeje maana maisha yangu yanategemea access ya mtandao 24/7
GTs,